vendredi 25 janvier 2013

Filamu ya Lolilo ya 2 'MWIBA' iko kwenye maandalizi (Preparation).
NIYONZIMA SALU NASSOR a.k.a Mzizi wa jiwe,a.k.a Lolilo ametufahamisha kuwa baada yakumaliza filamu yake 'The EAGLE' ,filamu iliomgharimu pesa zisio kuwa ndogo,kwa mdaa huu ameanza mchakato mzima wa kupita pita nakugonga milango ili akamilishe ndoto yake ya kuweka hewani filamu yake ya 2 itakayojulikana kama ' Mwiba' . Alitufahamisha ku filamu hio itakuja kuleta picha nyingine nchini kwa upande wa ukuwaji wa vipaji vya filamu nchini Burundi,itazungumzia . Lolilo alitufahamisha ya kuwa anafanya nguvu alakuli hali mwaka huu wa 2013 filamu yake hio imalizikealitwambia:" Nina ndoto siku moja nione kuwa mambo yamesimama mrama kwa upande wa tasnia ya mziki na filamu vile vile nchini mwangu,sintojali kutowa kila kilicokuwa changu ili ni akikishe filamu hio nimeiweka kwa mara nyingine sokoni. Kinyume na matayarisho ya filamu yangu hio niko nafanya kazi kutwa kucha,kwa sasa nyimbo 2 mpia zitawafikieni kuna moja niko natumika na ADOMIX na nyingine iko inarekebishwa kwenye studio BUJA RECORDS kwa LISER CLASSIC,nyimbo hio ni bonge la so! itajulikana kama 'I NEED A GIRL',album yangu mpia itanibi nitumie sana umombo kutokana nakujipanulia soko kanda za Africa mashariki na kati."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire