vendredi 1 février 2013

Gatumba: -Dj Yves Kolly :" Burundi tunaitaji mabadiliko kwenye production"


Mmoja kati ya wa producer nchini Burundi Dj KOLLY ambae anaendelesha shughuli zake hizo Mkoani Bujumbura,tarafa ya Gatumba kwenye Studio G-G Production ameifahamisha safu yetu kuwa:" Ivi natumika mu g-g production na niko nafanya kitu ambaco kitakuwa kama ca kwanza Burundi bila kujidanganya nimetumika nyimbo itakayokuja imeshiba vyakutosha, itakuwa ndani wanaharakati wa mitindo ya hip hop , mimi ntaitumika ila sitaimba , nyimbo hio itakuwa ni yangu binafsi...Nimepata inspiration kwa waimbaji wakubwa toka pande za USA kama David guetta,Dj khaled na wengine wengi...yaani namaanisha najiunga na waimbaji wa kila aina naninajaribu kuwapika vyakutosha ili pini hio itoke imeshiba vyakutosha. Kwa kweli Burundi tunahitaji mabadiliko makubwa kwa upande wa production kwani atuwa tumeshaipiga ila inatubidi tuongeze nguvu ili tuzidi kubaki imara kwa kazi yetu yakila siku. Nitatumika na Waimbaji kama 19Th,Over Do,Weezy bro,Dj Prince na Pim..."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire