mardi 3 septembre 2013

CHANY QUEEN :" Mimi na R Flow basi , nimechoka..."

Channy Queen

Msanii wa kike GITARE CHANNEL maarufu kama Queen Flo ameongeana safuyetuhii nakufunguka zaidi kuhusikana na uhusiano wake na mpenzi wake R Flow. Habari alizotufahamisha tulipohojiana nae alitwambia :" R Flow tulipendana nae takribani miaka 4 na nusu na hivi karibuni ilikuwa tueneze miaka 5. Ila msema kweli mpenzi wa Mungu,pamefkia wakati wakuweka mambo yote bayana simjiskiyi tena kwani hatukutanishi , yeye haendagi club ,hanywagi pombe, yaani mimi nimtu wakujiacha sipendi kufungwa fungwa kama kuku vile,nimechoka na kwasasa ninae mungine tunae kutanisha naninae mpenda kwa dhati." Aliendelea nakuzungumza uwa :" Kuachana nae haitonikataza kuendelea kutumika nae kimziki zaidi , mziki ni mziki na ka mapenzi ni ukurasa mungine. R Flow ni kijana mpole , mtulivu na kiukweli anayajuwa mapenzi ila level yake kiundani zaidi hatulingani najuwabado ananipenda sana ila mimi nimechoka naitaji kuwa relax sana , nani namshkuru sana kwa mdaa wote niliokuwa nae alinifunza mengi namimi nilifaidika sana kwani nilikuwa nimeyaacha yote aliokuwa hayapendi ila nimejikaza sana nimeshindwa , washabiki wa kundi letu la 'THE COUSINS'wazidi kutusapoti sisi bado niwamoja na kazi nzuriivi karibunizitawafikia kwani bado zinapikwa studio..."Kwa uchunguzi wa karibu tulio ufanya ni kuwa Channel mpenzi huo ambae wako nae anaitwa RODRIGUE na yapata kama mwaka nanusu wako nae . Je! Alikuwa anamdanganya R FLOW? Na R Flow msimo huo wa aliekuwa mpenzi wake anaupa mtazamo upi ? Itaendelea...

IMG_7177
Pichani : R Flow , Channy Queen na Bams'o. ° The Cousins °

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire