dimanche 3 février 2013

Afande Romeo:" karibuni Tempete kila Ijumaa (Vendredi) ,tunaburudisha na tunaelimisha pale."

Ameyaandika kupitia ukurasa wake wa facebook Msanii Afande Romeo :" Week-end njema kwa nyote ndugu zangu! Karaoke kubwa pamoja na Afande Romeo,Papy El Pedro,Yvan music,Santos na wengine Wadada 4 wanaocheza kila siku ya ijumaa kuanzia saa mbili usiku(20h). ni kwenye uwanja wa mpira TEMPETE . Msikosi kufika kujionea na kuburudishwa na mitindo tofauti tofauti ya mabara!!! mkiwa mnakunywa kwakucheka na sio kunywa mnajidoga." Aliayaandika kwakufahamisha washabiki wa nyimbo tofauti tofauti zinazo imbwa kwakutumia alaa ( yaani music live) kwaniaba yakupoteza mawazo jamii nakufurahi kwa pamoja...Ikumbukwe ya kuwa jumaa-mosi Steven Sogo na kundi lake na wao huwa wanatimuwa vumbi hapo. habari ndio hio...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire