jeudi 7 février 2013

R FLOW :" Tuache roho za kwanini? "Kwa jina lake halisi KARIMUNDA Rich Florin a.k.a R Flow alituzungumzia kidogo kuhiana na habari zinazotapaka mjini kusema kwamba yeye na Queen Flo sio tena wapenzi,alitwambia kuwa :" Mitaani wanayozungumza ni mengi ila vizuri inabidi wawe wanatafakari kwanza mbele yakulitowa neno kinywani mwao, tuache roho za kwanini kwani katika jamii haifai , washabiki na wasio kuwa washabiki wangu watambuwe kuwa mimi na Queen Flo bado tungali wapenzi tena upendo wa dhati kabisa,nilipenda vile vile mufahamu kuwa kuna nyimbo niliomtungia iko bado jikoni inapikwa na BIG Base toka Menya media Studio kisha baada ya siku chache mtapata uhondo. Nyimbo hio itaitwa 'My enjoy',nilimshirikisha kijana mwenye sauti nyororo Patient MATABARO,kinyume na hio nimeshaziachia tayari pini 2 mpia za kwangu,mmoja nimeimba mwenyewe (Watoto), nyingine nilishirikiana na dude QUEEN FLO (Nyigisha). Habari ndio hio...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire