lundi 24 juin 2013

PRIMUS LEAGUE : Matokeo ya wiki ya 17 na msimamo wa Ligi.

Ligue ya taifa maarufu PRIMUS LEAGUE mwishoni mwa jumaa ilikuwa imeingia kwenye wiki ya 17,zikiwa zimesalia wiki 5 ili michuano hio yakuwania ubingwa wa taifa yagonge ukuta . Lakufahamu ni kuwa mtanange kati ya Inter Star na Vital'o Fc haukuchezwa kutokana na kujumuika kwa Vital'o Fc kwenye mashindano ya CECAFA Kagame Cup yanayo endelea kusini mwa SUDAN .Vital'o imejipatia na fasi nyeti yakuvuka duru ifwatayo (Robo fainali) baada yakwenda sare jana na APR ya RWANDA .(1-1, 1-1,1-0,). Vital'o FC inasalia na michuano 2 ya kiporo kwa upande wa Primus League (LLB na INTER STAR ) , na huku LLB ikisalia na michezo 2 vile vile zidi ya (VITAL"O FC na MUZINGA) . Ifahamike kwamba Ligi yenyewe itasimama kidogo kutokana na matayarisho ya Timu ya taifa ya Wachezaji wanaosakata gozi la nyumbani maarufu CHAN watakao cheza mchuano wa duru ya awali Mjini KHARTOUM/SUDAN mwezi ujao.

MSIMAMO WA MUDA WA LIGI KUU :

Timu
GDPts
1FLAMBEAU DE L'EST1536
2ATHLETICO OLYMPIC1933
3VITAL'O FC (- 2matchs)2332
4  LLB ACADEMIC (-2 matchs)925
5ROYAL FC424
6INTER STAR523
7MESSAGER NGOZI322
8ACADEMIE TCHITE (-1match)-621
9
MUZINGA FC
-219
10PRINCE LOUIS-1712
11FLAMENGO FC-1910
12ESPOIR MUTIMBUZI-295

MATOKEO YA WIKI YA 17 :

Wiki ya 1721-06-2013FLAMENGO1 : 2ATHLETICO
22-06-2013ESPOIR0 : 2FLAMBEAU
22-06-2013ROYAL11MESSAGER
22-06-2013INTER- : -VITAL’O
23-06-2013MUZINGA1 : 2TCHITE
23-06-2013LLB3: 1PRINCE LOUIS

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire