MUGANI Désiré a.k.a Big Farious ndie kateuliwa na kampuni ya kinywaji *
FAB * kuwa GUEST Artist ambae atakae konga nyoyo za wapenda nao ifikapo usiku wa Valentin day , tarehe 14/February/2014 kwenye ukumbi wa Archipel . Ratiba na mpangilio kamili soma kwenye bango hapo juu...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire