Huu ndie Mrembo wa Staa wa Bongo flava ALIKIBAA...
Akiwa ziarani nchini kenya Staa wa mitindo ya bongo flava ALIKIBAA alipost kupitia instagram yake picha hii ya mrembo wake . Fahamu ya kuwa msanii huo alikuwa nchini Kenya kurikodi nyimbo aliyofanya kolabo na REDSAN .
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire