Sikiliza nyimbo mpya Real Love ya Daddy face (Official Music Audio).
Hii ni nyimbo yake ya 3 baada ya Miss mamtoni na Mama . Kumbuka ya kuwa Msanii huu wakizazi kipya ni mzaliwa wa Mkoa wa Bujumbura,Tarafani Kamenge kwasasa ana kula kuku na mkenge Marekani.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire