Mwanamama Lydia akisoma neno la ufunguzi,akiwa pembeni ya J.C Vuganeza na Bwana Mossi. |
1. Bubanza: Uwizeyimana Vianney alipata 4/6
2. Buja-Mairie: Nahimana Issa-Nene: 35/66
3. Cibitoke: Niyonsaba Jean-Paul: 9/16
4. Gitega: Maniraho Joseph 11/13
5. Kanyosha : Hon. Gahungu Juvenal na Nduwayo Eddywalikwenda sawa na alama 3 kila mmoja.
6. Karusi : Ndayisenga Serges : 4/7
7. Kayanza : Mpitarusuma Barnabé na Ndayiziga Aboutwahi walikwenda sawa kwa alama 5 kila mmoja.
8. Kirundo : Karikurubu Charles : 6/11
9. Muramvya : Kasimu Iddi : 7/8
10. Mutimbuzi : Gakari Jumapili : 4/6
11. Muyinga : Bigirimana Nestor : 6/6
12. Ngozi: Nizigiyimana Youssuf na Nzeyimana Faustin walitoka sawa na alama 4.
13. Nyanza-Lac : Mpawenayo Leonidas : 4/7
14. Rumonge : Nduwimana Madjid avec 5/2
15. Ruyigi: Nyamwema Pontien: 9/12
Kwasababu palikuwepo Shirikisho zilizojumuisha alama sambamba , ilibidi pafanyike duru ya pili ili kumtafuta mshindi , yalitokeya kati ya shirikisho za Kanyosha, Kayanza na Ngozi . Matokeo ya duru ya pili yalikuwa ni haya yafwatayo :
-Kanyosha : Hon. Gahungu Juvenal na Nduwayo Eddy walitoka sambamba ya alama 3 kwa 3 .
-Kayanza : Mpitarusuma Barnabé alipata 5 chini ya 9
-Ngozi : Nzeyimana Faustin 5 / 7
Duru ya pili ilishindikana kutambulika mshindi kwenye shirikisho la Kanyosha , ni duru ya tatu ndiyo ilimtangaza Eddy Nduwayo mshindi baada yakumshinda 4kwa 2 Juvénal Gahungu.

Kamati teule ya ukaguzi wa uchaguzi ikiongozwa na Mpfubusa Bernard wakizungumza utaratibu wa uchaguzi. |
Kwasababu palikuwepo Shirikisho zilizojumuisha alama sambamba , ilibidi pafanyike duru ya pili ili kumtafuta mshindi , yalitokeya kati ya shirikisho za Kanyosha, Kayanza na Ngozi . Matokeo ya duru ya pili yalikuwa ni haya yafwatayo :
Watu wengi waliudhuriya,wakiwemo vile vile baadhi ya watangazaji wa michezo. |
-Kanyosha : Hon. Gahungu Juvenal na Nduwayo Eddy walitoka sambamba ya alama 3 kwa 3 .
-Kayanza : Mpitarusuma Barnabé alipata 5 chini ya 9
-Ngozi : Nzeyimana Faustin 5 / 7
Duru ya pili ilishindikana kutambulika mshindi kwenye shirikisho la Kanyosha , ni duru ya tatu ndiyo ilimtangaza Eddy Nduwayo mshindi baada yakumshinda 4kwa 2 Juvénal Gahungu.
Ifahamike ya kuwa uchaguzi wa kiongozi wa FFB itakuwa tarehe 17/November/2013.
Baadhi ya picha :
Shukran za dhati kwa Thierry Niyungeko kwa mlolongo wa picha alizotupa.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire