Msanii wa kizazi kipya RAMADHAN KIZA a.k.a Dj pro leo mida ya saa kumi mchana ndipo aliwasili Mjini Bujumbura baada ya miaka kadhaa akiendesha kazi zake za mziki Bondeni kwa mandela. Alipowasili uwanja wa ndege alitusimuliya kuwa :" Nifaraja isiyokuwa na mfano kuona nimerudi kwenye ardhi ya Nkurunziza , washabiki wangu nilikuwa nawakumbuka sana ,nimefarijika kuwaona wengi mno kuja kunipokeya uwanjani,familiya yangu,kiufupi nimefurahi na nina ahidi kuwa zawadi hivi karibuni."
Dj Pro |
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire