NIKUZE Bonfis maarufu BOBONA ,jina alilopata baada yakuchuwa ' Bo' ya kwanza ikiwa ni Bonfis na hiyo 'BONA' yakufwata akiwa anamkusudiya RICHARD BONA msanii anaempenda baada ya Luka Kwanza kutoka Congo. Bobona ni mzaliwa wa Gihosha tarehe 20/5/1986 . Hivi karibuni kwenye mwezi huu wa November amepaniya kufanya tamasha 2 kwenye ukumbi wa IFB (Ex CCF) ifikapo tarehe 2/November ambapo ki ingilio kimepangwa kwa pesa 10.000 sarafu za burundi , na tarehe 10/11/2013 kwenye ukumbi wa vijana tarafani kamenge (Centre Jeunes Kamenge) ki ingilio ikiwa bure. Shaba na mazumuni ikiwa kutangaza album yake *IKIRANGAMISI* inayosimama na nyimbo 12.
Ujuzi kijana huo aliupata alipokuwa kwenye kundi la Hop Street , kundi alilokoma nalo takribani miaka 6 , mwaka 2011 ndipo alifunga pingu za maisha na raia kutoka Italia RODA CAMILLA , tarehe 3/11/2013 wakabahatikiwa kupata mtoto wa kiume Dareck NIKUZE , mtoto wa pekee ambao wanae hadi sasa . Pini ya kwanza aliyoachiya ikijulikana kwa jina la *Mbariza* mwezi wa 11/2011 ilimpa nguvu na akawa amepata na fasi nyeti yakujielekeza na mkewe nchini Italia ambako alijiunga na wengine wasanii pande zile wakawa wameunda kundi lijulikanalo kwa jina la 'ASKAN WI ' , kupitiya nyimbo waliyo imba kwa kirundi * Ndakuyagire *, kati ya kundi 23 , nyimbo hiyo ilisimama kwenye na fasi ya 2. Kwa wakati huu yupo Burundi na tayari ku unda kundi lake binafsi 'ABAHIGI' .
Pichani : Bobona , Dareck mwanae na Camilla mkewee |

Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire