samedi 21 septembre 2013

World News :Album ya Eminem "The Marshall LP2" itatoka tarehe 5/November/2013...

Photo : Discover How I make $516 a Day from This Fan Page!

3 FREE Videos Given out Tonight!

Click Here >> http://9nl.me/sray/
EMINEM
Rapper Eminem ameanza kurekodi cd yake mpya ya `The Marshall Mathers LP 2" itakayo toka November 5, 2013. Kupitia Beats By Dre tangazo lilitolewa kuwa Eminem sasa yupo kwenye kazi ya kukamilisha project hio na itakuwa mwendelezo wa MMLP1 Iliyotoka mwaka 2000.

Kazi ya Production ya nyimbo kwenye album hii itasimamiwa na mkongwe aliyeboresha record lebel kama Aftermath Entertainment ya Dr. Dre na Def Jam `Producer Rick Rubin'

Hii ni album ya saba ya Eminem kutengenezwa na Dr Dre na imetangazwa na kufanyiwa promotion kwa miaka mitatu sasa. Napenda kukujulisha kuwa Wimbo wa kwanza kutoka "Berzerk" upo kwenye Eminem.com unaweza Kusikiliza hapo.

Cover Za Album Ziko Hapa.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire