Daddy Face... |
- Burundi yazidi kupanuka zaidi kwenye tasnia ya mziki baada hapo jana kukufkishieni habari za vijana ambao waliungana kutokea Burundi na Tanzania , leo hii naichukuwa fursa kukutangazieni kingine kio cha jamii ambacho chadhihirisha maendeleo makubwa kwa mudaa mdogos sana kikiwa ndio bado kinaingia kwenye game hio ,huo si mwingine bali ni mzaliwa wa Tarafa ya Kamenge ,Mkoani Bujumbura ambae alipata na fasi nzuri yakuelekea mamtoni na akawa amejaliwa kuona ni vyema kuitangaza nhi yake kupitia mziki . Nilipata fursa yaku chat nae kupitia ukurasa wa kijamii wa facebook , na hii apa ni interview fupi niliofanya nae . Nilianza kumu uliza jina lake hali ,akanijibu :
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire