|
Jérôme na Kevin BOATENG. |
Hii ni picha
BB iliochaguwa kuwa niya wiki hii tuliyomaliza , ilikuwa ni kwenye mchuano wa wiki ya 6 nchini Ujeremani ; Shalke 04 ikiadhibiwa vibaya na bayern ya Munich bao 4 kwa 0 . Mdogo ambae ni jerome boateng alimfunga mkubwa Kevin prince Boateng ,yanatokeya sana hayo...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire