lundi 19 août 2013

Primus League : Matokeo na msimamo ya wiki ya 20 ...

Kikosi cha Inter Star.


Ligi ya taifa mwishoni mwa wiki hii ilikuwa imeingia kwenye wiki yake ya 20, zikiwa zimesalia wiki 2 pekee ili ligi igonge ukuta ,vuta ni kuvute bado ingali kwa upande wa timu 4 za mwanzo kwakuwania taji la mwaka huu . Jumla ya michuano iliochezwa Flambeau de l'Est ya Ruyigi,Atletico na Vital'o Fc bado zinadhihirisha kuwa zinaweza kuchukuwa ubingwa wa mwaka huu baada yakufanya operesheni nzuri kwakujiandikishia alama tatu kwenye michuano walio icheza kwenye wiki hii , timu ya Lydia ludic burundi academic jana ilikwamishwa bila kujitambuwa nakukatwa kikatalaza na Inter Star kwa kwenda sare ya bao 2-2 . Mchuano wa Muzinga na Prince Louis haukuchezeka kutokana na msafara Timu ya majeshi ya Muzinga ilionao ambapo inadhuru michuano yakijeshi nchini Kenya . Matokeo ya mwisho tunayo ya klabu hio ni kuwa iliabishwa na APR ya Rwanda kwakupigwa kipigo cha bao 4 kwa 0 .


Msimamo wa Ligi ,wiki ya 20 :

1 FLAMBEAU 23 45
2 ATHLETICO 24 43
3 VITAL’O 26 41
4 LLB 18 41
5 ROYAL 0 28
6 MESSAGER -1 27
7 INTER 2 26
8 TCHITE -11 25
9 MUZINGA -7 18
10 FLAMENGO -15 16
11 PRINCE LOUIS -24 13
12 ESPOIR -35 5

Matokeo ya ni haya ya fwatayo :

Wiki ya 18 10-08-2013 MESSAGER 1 : 4 LLB
  10-08-2013 FLAMBEAU 2 : 0 INTER
  11-08-2013 VITAL’O 1 : 2 ATHLETICO

Wiki ya 20  17-08-2013 MUZINGA - : - PRINCE LOUIS
  17-08-2013 MESSAGER 0 : 2 FLAMBEAU
  17-08-2013 ROYAL 0 : 2 ATHLETICO
  17-08-2013 FLAMENGO 4 : 1 ESPOIR
  18-08-2013 LLB 2 : 2 INTER
  18-08-2013 VITAL’O 3 : 0 TCHITE

Wiki ya 21  30-08-2013 INTER - : - FLAMENGO
  31-08-2013 VITAL’O - : - MESSAGER
  31-08-2013 TCHITE - : - FLAMBEAU
  31-08-2013 ESPOIR - : - LLB
  01-09-2013 PRINCE LOUIS - : - ROYAL
  01-09-2013 MUZINGA - : - ATHLETICO

Wiki ya 22  07-09-2013 TCHITE - : - MESSAGER
  07-09-2013 ROYAL - : - LLB
  07-09-2013 ESPOIR - : - PRINCE LOUIS
  07-09-2013 FLAMENGO - : - MUZINGA
  07-09-2013 VITAL’O - : - FLAMBEAU
  08-09-2013 ATHLETICO - : - INTER

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire