jeudi 23 mai 2013

Australia : FLORENCE & CECILIA wazidi kupeperusha bendera ya Burundi nchini Australia kupitia mziki wa injili...


Florence anae anza  , wa kati kati nae ni Cecilia ...
 Muziki wa Burundi tayari umeanza kutapaka na kuvuka boda sehemu zote za dunia ,nani alikuwa anafkiri kuwa nchini Austaralia tunao wabalozi wetu wanao ondoka na miondoko ya Gospel ? Blog yenu hii imeichukuwa fursa yakuyafanya mahojiano na Wasichana wawili wanao ishi pande zile na hii apa ni historia yao fupi ya maisha yao :

Majina yao kamili ni : Florence U.Ngarama na Cecilia B. Ngarama, wamezaliwa nchini Burundi Mkoani Ruyigi,walihungia Tanzania mwaka 1993 baada ya hali ya mchafuko wakisiasa uliozuka nchini , kipindi icho walikuwa bado wadogo sana wa kwanza ambae ni Cecilia alikuwa na umri wa miaka 4 na mdogo wake Florence alikuwa na umri wa miaka 2 . Walizaliwa kwenye familia yakikristo ilio walazimu kuanza kuimba nyimbo za injili kwenye kanisa la Sunday School walipokuwa Tanzania. Walitoka Tanzania mwaka 2006 nakujielekeza nchini Australia na ndipo ndoto yao ya uimbaji ilipo anzia vizuri . Walijaliwa kusomea muziki kwenye shule la muziki nchini pale . Baada ya hapo walijaliwa kuiweka album yao ya kwanza iliosimama na jina la 'In my Dream' iliosimama na nyimbo 6 . Wanahitaji kuendelea kuimba pamoja ila inaonekana kuwa itawaweya ngumu na inaweza kuwalazimu kila umoja atowe album yake kibinafsi . Florence yeye amulika kusimama na album yake itakayo itwa 'One more Time' , kisha album ya Cecilia itaitwa 'Gorigother' ,hali hiyo haitawakataza kuendelea wanatumika pamoja kwani niwandugu wa karibu sana . Kinacho sababisha wa achie album tafauti nikutokana na kuwa Florence na Cecilie wanasoma vyuo tofauti . Wasichana hao wawili wanamulika kushuka pamoja Burundi mwanzoni mwa mwezi wa 12 (December) .

 Tunaitaji kuendelea tunatumika pamoja shughulili zingine mbali mbali , kwa mfano kama kusaidia watoto wasiojiweza nchi tuliozaliwa na vile vile kusaidia wamama wajane na wagonjwa hosptalini . Hatutakuwa na uwezo wakuwasaidia wote  ila tutajitaidi kadri tuwezavyo kwenye Mikoa tutakayo tumikia Mungu akipenda . Tunaitaji kuendelesha nchi yetu kupitia njia tofauti tofauti kwenye siku za mbele (future) .  Tunamtumikia Mungu kupitia nyimbo tunazo imba na masomo tunayosoma tunahitaji siku moja tukiyamaliza tuisaidie nchi yetu . Florence yeye anasomea Criminology & Criminal Justice huku Cecilia akisomea Child Services . Yote ni kwa jitiada za kuisaidia nchi yetu Burundi , kuchangia byenye Mungu atakavyokuwa ametupa  , tuna imani kuwa bitawezekana kwa upendo tutakao onyeshana warundi ."

* Kwa kirundi : 

Amazina yacu ni: Florence U. Ngarama & Cecilia B. Ngarama. Twavukiye Burundi Muri Ruyigi tukaba twahungire muri tanzania muri 1993 tukiri abana bato cane imyaka ine kuri ibiri. Twavukiye mumuryango yaba Christian, Twatanguye kuririmba muri Sunday school kwisengero Itanzania.....twavuye muri Tanzania in 2006 tuza muri Australia ariho twaciye dutangura kuririmba neza. Twarize music kuri College hanyuma turasohora Album yambere yitwa" In My Dream" irimwo indirimbo zitandatu. Twipfuza gukomeza turirimba naho bibonekana ko muri album yindi tutazoba turikumwe kubera tutaronka umwanya wokwicara hamwe ngo twandike indirimbo ariko jewe Florence album yanje igiye gusohokera muburundi izoba yitwa " One More Time" na album ya Cecilia izoba yitwa " Gorigother" ariko tuzobandanya dukorana cane gose nkuko turabavukanyi. igituma tugiye kusohora album zitandukanye nuko jewe3 Florence niga kuri University itandukanye niyo kwa Cecilia nico gituma bigoye kubonana cane ariko tuzoba turikumwe mgaho muburundi bishobotse muntango nzukw'icumi nakabiri.

Turakeneye kubandanya dukorera hamwe nibindi bikorwa bitandukanye vyinshi, akarorero nkogufasha abana bipfuvyi mugihugu camavukiro hamwe nugufasha abapfakaye nabarwariye mubitaro.
ntabwo tuzoshobora gufasha bose ariko muntara zitandukanye tuzohakorera ibitandukanye nyene Imana ibidushoboje.

Dukeneye guteza imbere uburundi bwacu munzira zitandukanye cane muri kazoza. Dukorera Imana biciye mundirimbo kandi mumashure twiga tugategura kuzofasha uburundi bwacu, jewe Florence nigira Criminology & Crinimal Justice na Cecilia yigira Child services.
Vyose nuguteza imbere uburundi kugirango dusangire bike muvyo Imana yaduhaye, Vyose bizoshoboka mukwizera kandi nomurukundo tuzoza dufitiraniye twese nk'abarundi n'abarundikazi.


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire