Kabla yakutuwa kwenye kanda ya maziwa makuu (DRC na Burundi ) , Msanii Diamond Platnum yuko na bonge la tamasha atakayo iendesha tarehe 5/May/2013 . Kisha baada ya hio atakuwa Uvira na Bujumbura ifikapo tarehe 12/may/2013 . Aliandika kupitia website yake :" Watu wangu wa UK hii ni yenu tena......safari hii nakuja kukinukisha nikiwa na crew yangu ya wasafi ntakuja kuakikisha Jiji la malkia linatitia kwa vurugu za jukwaa kutoka kwa toto la kimanyema....!! Reading ndani ya tarehe 5 May........usikoseee!!! ".
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire