mardi 19 mars 2013

Kinshasa : Wachezaji 22 wa DRC walio itishwa na Coach Claude Leroy kwenye pambano zidi ya Lybia

Mkufunzi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Claude Leroy jana kwenye mkutano na waandishi habari alieka hadharani orodha ya Wachezaji 22 watakao pambana na kikosi cha Lybia kwa upande wa matchs za mchujo za kombe la dunia 2014 . Match hio inamulikiwa kuchezwa ifikapo tarehe 23/March/2013, huku mazoezi kuanza kesho tarehe 20/march/2013 Jijini Kinshasa . Kwenye orodha hio mchezaji wakulipwa Matumona Zola hayumo, Coach aliwambia wa andishi wa habari kuwa  mchezaji huo kiwango chake kimeshuka ndio maana hakumuita .Alisema :" Haiwezekani mchezaji atoke Ubelgigi alafu yende kucheza Angola (Premeiro de Agosto) , afadhali atoke Ubelgigi yende Ufaransa,Uespania ao Italia,iyo inaonyesha wazi kushuka kwa kiwango chake cha mpira . Ikumbuke ya kwamba ni wiki ya 3, DRC ilishafungwa mara 1 na Cameroun bao 1-0, ikafunga Togo 2-0,hii ni match ya tatu itakayo wapambanisha na Lybia .

Orodha ya Wachezaji 22
--------------------------------


Nzuzi Toko
Cédric Mongongu
Gabriel Zakuani
Chancel Mbemba
Thierry Kasereka
Kasusula Kiritcho
Landry Mulemo
Yousouf Mulumbu
Kisombe Mankutima
Luvumbu Nzinga
Alain Kaluyituka Dioko
Yannick Bolasie
Dieumerci Mbokanyi
Trésor Mputu
Yves Diba
Hervé Ndonga
Mutombo Kazadi
Bobo Ungenda
Distel Zola


www.burundi-beat.blogspot.com

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire