samedi 16 mars 2013

CHAMPIONS LEAGUE + CONFEDERATIONS CUP : Kumbukumbuku kihistoria na ratiba ya michuwano...

 Kwenye kumbukumbuku na historia ya kombe la Club bingwa barani africa ( Ligue des Champions) lililoanzishwa rasmi mwaka 1997, Misri ilishatwa kombe hilo mara 6 (Al Ahly 5 , Zamalek 1 ) , Morocco ( Raja Casablanca 2 ), Tunisia ( Etoile du Sahel , Esperance de Tunis ) , kwa ujumla wa tunzo 10 chini ya 16 ; Timu za kusini (SUD) zilishatwa mara 6 , Nigeria (Enyimba Fc 2) na DRC 2 (TP Mazembe) , Ivory Coast (Asec Mimosas ) , Ghana (Hearts of Oak ) kila timu moja moja . Je! Timu za kaskazini zitaendelea zitachukuwa tena mwaka huu? Na vipi kuhusu timu za mashiriki na kati zitachukuwa ? Tukae mkao wa kula tusubiri kwani bado ingali mapema.

Ratiba ya michuano itakao chezwa kati ya tarehe 15,16 na 17 March 2013

 Club bingwa ( Champions League)

Zamalek (EGY) - V Club (COD)
Saint George (ETH) - Djoliba (MLI)
CA Bizerte (TUN) - Dynamos (ZIM)
Tusker (KEN) - Al-Ahly (EGY)
Zanaco (ZAM) - Orlando Pirates (RSA)
Mochudi Centre Chiefs (BOT) - TP Mazembe (COD)
Vital'O (BDI) - Enugu Rangers (NGR)
Recreativo Libolo (ANG) - Al-Merreikh (SUD)
JSM Bejaia (ALG) - Ashanti Kotoko (GHA)
Primeiro Agosto (ANG) - Espérance (TUN)
FUS Rabat (MAR) - Union Douala (CMR)
Séwé San Pedro (CIV) - Al-Hilal (SUD)
AFAD Djékanou (CIV) - Coton Sport (CMR) : Timu ya Pierrot KWIZERA
Casa Sport (SEN) - Stade Malien (MLI)
Kano Pillars (NGR) - AC Léopards (CGO)
ASFA Yennenga (BUR) - Entente Sétif (ALG)
 Kombe la Shirikisho (Confederations Cup)
ENPPI (EGY) - Gor Mahia (KEN)
Petro Atletico (ANG) - SuperSport Utd (RSA)
Lobi Stars (NGR) - Liga Muculmana (MOZ)
Wydad Casablanca (MAR) - AS Douanes (TOG)
ASEC (CIV) - Rail Kadiogo (BUR)
DC Motema Pembe (COD) - Lydia Academic (BUR)
USMA (ALG) - Panthère Ndé (CMR)
Heartland (NGR) - US Bitam (GAB)
Al Ahly Shandy (SUD) - Dedebit (ETH)
Ismaily (EGY) - TCO Boeny (MAD)
CS Sfaxien (TUN) - Gamtel (GAM)
Diables Noirs (CGO) - Panter (GEQ)
Recreativo Caala (ANG) - US Bougouni (MLI)
Etoile Sahel (TUN) - Onze Créateurs (MLI)
Barrack Young Controllers II (LBR) - Azam (TAN)
FAR Rabat (MAR) - Al-Nasr (LBA)

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire