dimanche 6 janvier 2013

Emery sun:"2013 album yangu ya 2 itakuwa tayari..."Msanii wakiume NIVYINDAVYI Emery a.k.a Emery Sun ametufahamisha ya kuwa hakai,anatumika vyakutosha ili siku moja aone ndoto yake imekamilika.Tulipo muhoji kulingana na ukimia wake kwenye game la mziki alitwambia:"Ni nana nyimbo yangu mupia ni mefanya na Liser Classic,inaitwa 'ikidodo' ivi niko (studio) jikoni tena nafanya zingine kazi,na nimeamuwa kwanza kuachana na tamasha flani flani (show) labda ikiwa inanifaa yani ikiwa inalipa vyakuosha,ili baada inilipe kwaju nifanyi kazi.Sitaki mtu wakuniweka kwenye bango (affiche) mpaka mi niseme kama nimerejea kwenye fani ya mziki,Hivi karibuni nina mpango wakuzitowa clip videos nyingi na nyimbo za audios ili niakikishe mwaka 2013 nimesimama na album yangu ya 2."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire