mardi 28 janvier 2014

MUGANI DESIRE a.k.a BIG FIZZO atakonga nyoyo za wapendanao ifikapo siku ya Valentin day(14/02/2014)...

MUGANI Désiré a.k.a Big Farious ndie kateuliwa na kampuni ya kinywaji * FAB * kuwa GUEST Artist ambae atakae konga nyoyo za wapenda nao ifikapo usiku wa Valentin day , tarehe 14/February/2014 kwenye ukumbi wa Archipel . Ratiba na mpangilio kamili soma kwenye bango hapo juu...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire