samedi 21 septembre 2013

EXCLUSIVE : BIG FIZZO hatupo naye tena Burundi...

Fizzo
MUGANI DESIRE a.k.a Burundiano,Big Fizzo,Gikundiro,General... leo hii saa kumi na nusu (16h30) ndipo alichukuwa ndege nakusafiri kwakurudi nyuma Ufaransa Mjini Toulouse kumuona mkewe na mwanae Razzia . Ilipotimiya saa nane mchana leo tuliongeya naye kwa simu  akutufahamisha :" Mtu wangu siunajuwa ninapo safiri siagagi mtu! Ila wewe ni mtu wangu wakaribu singeweza kusafiri bila sikukuaga , naomba wafahamishe washabiki zangu wote kuwa nasafiri naweza kuridi hivi karibuni , michongo ikiwa sawa naweza kurudi mwezi wa kumi (Octobre) ila hapo ntakuwa nimeitika wito wa Festival flani inayo andaliwa GOMA / DRC wananihitaji ila hatuja afikiana malipo yangu vizuri ila lakufahamu akipenda Mungu kama sikuafikiana nawo Bujumbura ntatimba ifikapo mwezi wa 12 (December) kwani kuna mambo muhimu nilikubali kuwa ntatenda lazima nifanye hivyo ." Aliendeleya nakusema :" Nimekubali album ya nyimbo 12 kwenye album yangu *Burundiano* ila naona utamu uko unazidi itanibidi niongezeye zingine nyimbo nifika kwenye nyimbo 14 ao 16 itatokana na muda ntakao kuwa nawo kwani siku hizi ni speed kwenda mbele niko na Tamasha nyingi ntakazo ziendesha Australia, canada, USA..." Ifahamike ya kuwa Big Fizzo  ameziacha jikoni kama zawadi kwa washabiki wake nyimbo 3 : Mapenzi yaki change,(Mimi nishabiki wa hiyo nyimbo namba 1 , bonge la pini kama alivyotwambia mwenyewe tulipokuwa nae live kwenye kipindi kupitiya 88.2 na 99.9 Mhz radio Culture wakiwa wageni rasmi pamoja na Alida Baranyizigiye /Mmoja kati ya walio unda kamati ya Primusic 2013 ); na collabo 2 alizozifanya na wanaharakati wa hip hop WAWA na AFISA RAJ B alie imba chorus na vesi moja kwenye nyimbo *Apple * ya Rally Joe . Alimaliziya nakuomba  :" Mimi binafsi sijakubaliana na clip video ya nyimbo Ndakumisinze wameitowa bila ruhsa yangu ,kwa kweli sijaridhishwa nayo na ahidi kuirudiliya kwakutumiya picha zile zile ila kwasasa itakuwa ni Guerra man ndiye ataiweka sawa kama gisi nitakapo rudiya nchini ntafanya naye kazi zingine z video na vile vile ntatumika na Willy Sirabahenda ." BB itamtakiya kila la kheri Fizzo....

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire