mardi 28 janvier 2014

Daddy face :" Tuache beef zakijinga , tuwaze kuijenga taifa letu Burundi..."Baada yakuiweka hewani audio ya pini * Real love * , mzaliwa wa tarafa ya kamenge DADY DESIRE amechonga na BB nakutuwekea wazi kuwa :" Ningelipenda washabiki zangu pane hizo wafahamu kuwa Truck yangu mpya inaitwa * Vanessa* nilio fanya kolabo na Lilian itatatoka hivi karibuni na video ya real love pia." Msanii huo wakizazi kipya aliongeza nakusema kuwa :" Sifurahishwi naninakayo yasoma kupitia wall ( Profil ) za baadhi ya Wasanii wa Burundi wanakayo ya post kupitia mitandao yao yaki jamii hayalingani na mila na desturi ya Wasanii wa mziki wa nyumbani . Mimi binafsi nafkiri wangeliacha beef zisizo na maana cha msingi wa kae chini na watafakari ni jinsi gani mziki wa Burundi unaweza kusonga mbele ."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire