mardi 12 novembre 2013

Orodha ya Wachezaji 22 wa Intamba Murugamba waliyo ingiya Kambini Jumaa-pili...

Intamba Murugamba.
Hii ndiyo orodha ya Wachezaji walio ingiya kambini Jumaa-pili ,wako kwenye Hotel kusaliya kwenye kambi. Kwa muujibu wa Coach msaidizi AMARS :" Ni kitu tulichokuwa tunaomba ili kujenga wachezaji wawe kitu kimoja na wachangiye chakula kimoja ili wote wawe na imanai moja yakuteteya nchi yao kwenye mashindano ya Cecafa watakayo wakilisha Burundi nchini kenya na CHAN nchini South africa."

1. MC ARTHUR ARAKAZA / FLAMBEAU DE L'EST
2. NDUWIMANA SAIDI TAMAA / ATHLETICO
3. RUGUMANDIYE YVAN / MUZINGA
4. HAKIZIMANA HASSAN L'HOMME / ATHLETICO
5. HAKIZIMANA ISSA VIDIC / LLB AC.
6. NSENGIYUMVA FREDERIC / ATHLETICO
7. HARERIMANA RASHID LEON / LLB AC.
8. DUHAYINDAVYI GAEL / LLB AC.
9. NDUWARUGIRA CHRISTOPHE LUCIO / LLB AC.
10. NDIKUMANA YUSSUF LULE / LLB AC.
11. HADJI MASSOUD / FLAMBEAU DE L'EST - VITAL'O FC
12. NAHIMANA SHASSIR / INTER STAR
13. HAKIZIMANA PASCAL / MUZINGA - FLAMBEAU DE L'EST
14. HABONIMANA CELESTIN / VITAL'O FC
15. NDUWIMANA JEAN GENTIL / ROYAL FC
16. NDARUSANZE CLAUDE / LLB AC.
17. FISTON ABDUL RAZZAK / LLB AC.
18. SHABANI HUSSEIN TSHABALALA /FLAMBEAU DE L'EST
19. DAVID /FLAMBEAU DE L'EST
20. MUNEZERO FISTON / FLAMBEAU DE L'EST
21. NKURIKIYE LEOPOLD KAYA / VITAL'O FC - INTERS STAR
22. AKANAKIMANA NOAH / ATHLETICO

Kinyume  na Manirakiza Haruna Lucio, Nimubona Emery Kadogo waliyojielekeza DRC ku ungana na klabu ya St Eloi Lupopo ,wachezaji kama Nzikoruriho Abou , Aime Nzohabonayo , Ndayiragije Razzak ,Ndikumana Amuri , Fataki Intelligent waliondolewa kwenye orodha ya Wachezaji waliyo ingiya kambini juzi Jumaa-pili ili kujinowa nakujiandaliya na mashindano ya CECAFA yatakayofanyika nchini kenya mwisho wa mwezi huu. Ifahamike ya kuwa mazoezi hayo kutokana na kombaini za vijana wa chini ya umri wa miaka 17 na 20 wanao tumiya vile vile uwanja wa mwanamfalme Louis Rwagasore ,timu hiyo ya taifa Senior inajinowa Jumaa-tatu,Jumaa-tano na Ijumaa saa tisa unusu ,kisha Jumaa-nne na Alkhamis wanajinowa saa moja asubuhi .
 

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire