mardi 12 novembre 2013

Lydia NSEKERA na Reverien NDIKURIYO ndiyo watakao jitoza kuongoza FFB hapo tarehe 17/11/2013.


Jana tarehe 11/11/2013 jioni ndipo Kiongozi wa tume ya uchaguzi MFUBUSA Bernard ameyatangaza bayana majina 2 ya Wagombeya wa kiti cha uongozi wa Shirikisho la kandanda FFB nchini Burundi, uchaguzi huo umepengwa kufanyika ifikapo siku ya Jumaa-pili tarehe 17/11/2013 kwenye ukumbi wa Royal Palace Hotel chini ya usimamizi wa Tume hiyo ya uchaguzi inayo ongozwa na MFUBUSA Bernard na Wageni wa 2 wa FIFA watakao jifkiya ili kujioneya uchaguzi utakavyo fanywa. Bila tatizo hofu yeyote majina 2 tayari yametajwa nayo ni pamoja na NDIKURIYO Reverien na Mwanamama Lydia NSEKERA.Huu ni waraka wakuonyesha wawili waliyoruhusiwa kujichagulisha hadi mdaa huu . Nani atakaye shinda ,jibu ni hapa tarehe 17/11/2013 kupitiya hapa hapa kwenye tovuti yenu. Huu apa ni waraka uliyoachiwa jana na Kiongozi wa  tume la uchaguzi :
Photo : Sans grande surprise, les candidats aux élections du Président de la FFB seront Lydia NSEKERA & NDIKURIYO Révérien. Leurs candidatures ont été réceptionnées aujourd'hui comme le prévoyait le calendrier électoral

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire