vendredi 27 décembre 2013

CHAN 2014 : Wachezaji 23 wa Intamba Murugamba watakao jielekeza Afrika ya Kusini...

Mkufunzi mkuu wa Intamba Murugamba NASSIM LOTFY MOHAMED na Jopo la ufundi wameitangaza leo hii orodha ya Wachezaji 23 watakao jielekeza Bondeni kwa Mandela ifikapo tarehe 6/January/2014 kwenye Mji wa Polokwane , Kaskazini mwa nchi hiyo . INTAMBA MURUGAMBA kwenye kundi lake itachuana na GABON , RDC  na MAURITANIA ambayo imechukuwa kambi nchini Rwanda kwakujinowa nakujiandaliya michuano hiyo . Ifikapo tarehe 2/January nchi hiyo itapambana na Rayon Sport,timu ya Daraja la kwanza nchini Rwanda . Burundi mchuano wake wa kwanza itachuana na Gabon tarehe 14/January/2014 .

* Wachezaji 23 ni pamoja na :
 -------------------------------------
1.Arakaza Marc Arthur / Flambeau de l'Est
2.Rugumandiye Yvan / Muzinga
3.Nduwimana Saidi Tamaa / Atletico
4.Harerimana Rashid Leon / LLB Academic
5.Hakizimana Issa / LLB
6.Nsabiyumva Frederic / Vital'o
7.Rugonumugabo Stephane / LLB
8.Hakizimana Hassan / Atletico Olympique
9.Nkurikiye Leopold Kaya / Inter Stars
10.Nduwarugira Christophe Luco / LLB
11.Ndikumana Yussuf Lule / LLB
12.Duhayindavyi Gael / LLB
13.Moussa Mossi Hadji / Vitalo
14.Shabani Hussein / Flambeau
15.Ndarusanze Claude / LLB
16.Ndikumana Yameen Suleiman / Vitalo
17.Habonimana Celestin / Flambeau
18.Abdul Razzak Fiston /LLB
19.Nduwimana Jean Gentil / Olympique Star
20.Nzohabonayo Aimé / Atletico Olympique
21.Nahimana Chassir / Inter Stars
22.Hakizimana Pascal / Flambeau de l-Est
23.Ndayihimbaze Gilbert / Guepiers du Lac


2 commentaires:

  1. wambiyeni vijana wasiji kutupatisha haibu,waje wako tayari kama ilivyo,siyo tukapoteze hela zetu bure na bila furaha yoyote ile.

    RépondreSupprimer