vendredi 29 novembre 2013

CECAFA : Tizama video ya mchuano kati ya Burundi na Somalia ilikuwa mwaka 2012...Secretary General, Nicholas Musonye


Burundi inayojikuta kwenye kundi la B ilifanya operesheni nzuri baada yakuilaza timu ya taifa ya Somalia kwa bao 2 kwa 0 . Bao hizo 2 ziliwekwa kimyani na Abdul Razzak Fiston na Nduwarugira Christophe Lucio . Hii ndio kalenda Kamili ya makundi kwea upande wa michuano ya CECAFA :

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire