dimanche 10 février 2013

G-BO :" Style zetu niza kimia kimia..."Wasanii wawili wanaondoka na mitindo yakipee nchini Burundi kwenye tasnia ya muziki NGABO Gulain a.k.a  G-BO na YESHAYAH Benjamin a.k.a Y-B wameifahamisha blog yetu hii kuwa wako bado kwenye game la muziki nchini Burundi baada yakutamba na pini zao kadhaa kama 'Ngwino' nazinginezo. G-BO ameifahamisha blog yetu kuwa :" Kwa mudaa huu tuko tunanya kazi kimia kimia kwani wanasema waswahili 'pole pole ndio mwendo',tuko tunamalizia malizia clip video ya nyimbo 'Ngwino' itakuwa tayari akipenda Mungu tarehe 19/February/2013 na baada ya hio tuta achia nyimbo mpia mwezi wa ine ( April ) itajulikana kama 'Bye bye',tuko tunatumika na Liser Classic ku Buja Records." Habari ndio hio...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire