jeudi 10 octobre 2013

Tizama exclusive interview ya Bakari Ubena na Jay Fernando wakizungumza kuhusu Diaspora Show...


BAKARI Ubena na Jay Fernando wakiwa kwenye interview.
JAY FERNANDO msanii anaezidi kunga'ara mitoni ni mdogo wake na marehemu W Dogg , mmoja kati ya waanzilishi wa rap nchini Burundi akiwa na BAKARI Ubena mmoja kati watangazaji waliyojijengeya jina na sifa tele nchini Burundi kwa umahiri wa utendaji kazi akiwa kwenye vibuyu vya angaa vya redio ya taifa (RTNB) kanda ya pili , Redio Renaissance , RSF Bonesha FM , RPA (Redio ya Umaa). Hakukawiya sana Burundi kwani alipata shavu ya Kampuni flani iliyomuhitaji Belgium na akawa amejiunga nayo, kwa muda huu yuko na zaidi ya miaka 5 akiwa Belgium . Wakiwa kwenye kampeni kabambi yakutangaza bonge la show la Diaspora inayoandaliwa na vijana hao warundi wanakaoishi pande zile alionyesha kuwa bado amezamiliya kwenye fani hiyo ya utangazaji . Tizama kwa makini video hiyo apo juu.

1 commentaire: