vendredi 11 octobre 2013

BIG FIZZO :" Kigali mjiandee..."

Baada yakufanya vurugu za show kwenye nchi tofauti kama South africa,Canada,nchi kadhaa za Africa pakiwemo Burundi , DRC ... Hivi karibuni msanii mzowefu Big Farious ameshakuwa tayari kwa bonge la Tamasha nchi Rwanda kwa ushirikiyano tosha na baadhi ya makundi yakitamaduni na Dj BISOSO,mmoja kati ya wanaofanya vizuri pande zile. Mengi zaidi soma apo juu ,hiyo ndiyo offocial posta ya Tamasha. yenyewe,

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire