vendredi 11 octobre 2013

East Africa Community Australia presents :" Black & White Affair LILL-P "


NIYINTUNZE PRIVATO a.k.a LILL-P ni mzaliwa wa Mkowa wa MAKAMBA,ni mmoja kati ya wasanii wakizazi kipya ambao wanajituma kwa udi na uvumba kusogesha gwaride ya mziki wakiwa nje ya nchi. Kijana huyo ambaye anaendeleya kuiwakilisha Burundi kwenye mashindano na kwa ujumla muziki nchi Australia akijinasibu kuwa yeye ni Mrundi . Wiki 2 zilizopita tuliwafahamisheni kuwa kijana huyo alishirii kwenye mashindano ya kusaka vipaji kwa live music kwa upande wawasani wanaotokeya barani Africa . LILL-P akiongeya na BB alitufahamisha : « my new single ya Swahili na English ipotayari , inaitwa I"M FREE , nawafahamisha washabiki wangu watakao hitaji kuiskiliza waiskilize kwenye website ya Glm , niko vile vile na show tarehe 2 November,mengi zaidi ya show hiyo tizameni apo juu kwenye posta hiyo . . Kwenye mashindano yale ya Audition live niliyoshiriki niliweza na kwa muda huu nasubiri watufahamishe nani mshindi ila habari ya mwisho ninayo ni kuwa sisi tuliopata na fasi yakuendeleya tutashindana tena kisha watakao shinda ndiyo watatungikwa zawadi mbali mbali (Trophy). » Aliongeza nakutufahamisha kuwa : « my website is completewanaweza kuitizama na endapo patakuwepo swali lolote wasisiste kuuliza niko ready kujibu swali lolote lile,nawaomba wajipe muda wakuziskiliza kazi zangu kisha wanipe nasaha itanifariji sana kwani bado nahitaji ushauri kutoka kwao.Website yangu ni www.lillpofficial.com . » Alimaliziya nakusema : « Nashkuru kwa sapoti wanayo nipa tena ntaendeleya kuwashkuru. »

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire