jeudi 10 octobre 2013

World News: Picha za kinyozi maarufu za wachezaji kama Bale,Rio Ferdinand,Rooney,Young...

Daniel ni raia kutoka England , amejijengeya umaarufu mkubwa kwa kuwa Kinyozi pekee wa nchini pale anaye washevu nyele masataa tofauti wa mpira nchini pale. Kwenye picha hizo, utamuona Daniel akiwa na baadhi ya hao wachezaji :
Akiwa na Baloteli
Rio Ferdinand
Bale
Rooney
Ashley Young
De Foe

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire