Jopo la wanasiansi limeweka wazi aina 5 za simu zilizouza sana duniani mwaka 2012 . Hata hivyo zote ni za Apple na Samsung. Tizama apo chini...
1. Iphone5 : Simu milioni 80 ziliuzwa .
2. Samsung Galaxy S III : simu milioni 40 ziliuzwa.

3. Samsung Galaxy Note : Simu milioni 10 ziliuzwa

4. Apple Iphone 4S : Simu milioni 9.5 ziliuzwa.

5. Samsung galaxy Note II : Simu zaidi ya milioni 8.8 ziliuzwa.

Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire