lundi 2 septembre 2013

FFB : UNITE na VOLONTAIRES zitapambana tarehe 13/9 & 21/9/2013 . Kesho Mama Lydia NSEKERA ataendesha mkutano na waandishi habari...

 
Mchuano utakao zipambanisha timu 2 zilizotoka za kwanza kwenye makundi kwenye primus league B 
  mikoani ( Unite ya Muyinga na Volontaires ya kanyosha ) zitapambana ifikapo tarehe 13/September/2013 mchuano wa awali na tarehe 21/September/2013 mchuano wa marudiano . Ifahamike ya kuwa timu zote mbili hizo kila moja ilichukuwa na fasi ya kwanza kwenye kundi lake , michuano hiyo imepangiliwa kuchezwa kwenye uwanja umoja bila kutojali kuchezwa kwenye viwanja vyao kama ilivyokuwa kawaida . Habari nyingine tunayo siku ya leo ni mkutano na waandishi habari ulio andaliwa kufanyika kesho kwenye makao makuu ya Shirikisho la mpira nchini na Mwanamama Lydia NSEKERA na yale yatakayozungumzwa ni pamoja na :-Kombe la CHAN 2013
- Kuhusikana na kombe la Dunia 2014 nchini Brasil : mauzo ya tiketi .

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire