lundi 25 mars 2013

Dar Es Salaam : Wema Sepetu ametowa pesa milioni 13 kuokowa maisha ya KAJALA ...


Mrembo Wema SEPETU leo amemake headline baada yakutowa mfukoni mwake shilingi milioni 13 kulipa faini ya Muigizaji mwenzie KAJALA Masanja aliehukumiwa leo kwenda jela miaka mitano ama  kulipa kiwango hicho cha pesa. Akizungumza na Bongo5 leo,Wema amesema hakufikiria mara mbili kutowa kiasi hicho cha fedha . Alisema kuwa alitowa pesa hizo ili kunusuru maisha ya tabu yenye mateso , yenye dhamana  na huku anazo pesa zakumsaidia . Kwenye tokio hilo walikuwepo Waigizaji wengine kama Lulu ,Dk Cheni, Producer Lamar... Muigizaji huo yuko huru kwa muda huu...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire