mercredi 4 septembre 2013

Bongo News : Lady JayDee amemuomba Rolmodel Khadidja Kopa colabo.

Ile Collabo kubwa aliyoshawahi kuizungumzia Lady Jay Dee kuwa ataifanya na Role Model Wake Khadija Kopa, Ndio imeanza kufanyiwa kazi sasa. Hii picha Ya Kwanza Wakiwa Pamoja Nyumbani Kwa Kopa Bagamoyo.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire