jeudi 18 avril 2013

Primus League : Vital'o Fc 1-0 Royal Fc , Atletico 2-0 Prince Louis .(Atletico yasalia kileleni)

Jana Primus League ilikuwa ni wiki ya 13 (13eme Journee) ambapo timu 4 zilipambana nazo zikiwa ni pamoja na :

Saa nane : Prince Louis 0 - 2 Atletico Olympic.
Saa kumi : Vital'o Fc 1 - 0 Royal Fc .

Michuwano hio apo jana tarehe 17/April/2013 ilichezwa pakiwa hali ya mvua mvua ambayo ilipiga ila kutokaza michezo hio kutochezwa . Atletico Olympic ilitumia na fasi nzuri walizozipata kwakuilazimisha Prince Louis kwa bao 2 kwa bila . Vijana wa Coach Etienne walipata na fasi zakufunga ila bahati mbaya hawakuona lango la kijana Saidi Tamaa (Kipa wa Atletico) . Saa kumi ,Vital'o Fc wali ipokea Royal kutokea Mjini Muramvya , tulichokishughudia ni kuwa timu ya Vital'o Fc ilitumia na fasi nzuri kwenye dakika 10 za mwanzo kwakucheza mchezo wa haraka nakutuma wacheza wa timu ya Royal kujikosa ila ngome ya nyuma ya timu hio ilikuwa macho nakulinda hatari yeyote yakupatikana bao . Ni mnamo kipindi cha kwanza ambapo mchezaji Abdallah alipiga mpira mkali kwenye mita 30 (30 metres) kipa wa Royal akawa ameurudisha ila bahati mbaya  Tambwe Amissi anae ongeza kwenye ngazi yawafungaji bora (12 buts) alitumia ujanja nakuanguka kwenye eneo la hatari baada yakuangushwa na Kipa wa Royal Fc Amidou Hassan , Referee wa mchuano huo KASELE hakusita nakuweka penalti . Bao lilikuwa ni hilo moja dakika tisini zote , nikufahamishe tu ya kwamba ngome ya Royal Fc likuwa chonjo na imara nikizungumzia kama Wachezaji Sendazirasa Badi Badi , Fabrice (Nahodha) nawengineo kwakuzibiti kati kati ya Vital'o ambayo inao wachezaji wenye uzowefu wa hali yaju (Steve , Abdallah na Lule), palikuwepo kosa kosa pande zote mbili ila mchuano ulimalizika kwa bao 1-0 kwa niaba ya Vital'o fc . Alama tatu muhimu kwa Vital'o kwani inasimama na fasi ya 2 na alama 25 na mchuano umoja wakiporo . kwa upande wa Coach wa Royal ,Omar anasema kuwa :" safari bado ni ndefu , 'kwenye msafara wa mamba na kenge zimo' , hatukati tamaa tutapigana hadi mwisho kwani hatushindani sana kwenye upande wa msimamo wa Ligi ." Primus League inaendelea mwishoni mwa jumaa...

(Wiki ya 13) 13 ème JournéeIjumaa ,19-04-2013 : Bujumbura :TCHITE- : -INTER STAR
Jumaa-mosi , 20-04-2013 : Bujumbura :MUZINGA- : -LLB
Jumaa-mosi , 20-04-2013 : Mutimbuzi /Gatumba :ESPOIR- : -MESSAGER
Jumaa-mosi ,20-04-2013 : Ruyigi :FLAMBEAU- : -PRINCE LOUIS
Jumaa-mosi ,20-04-2013 : Bujumbura :FLAMENGO- : -VITAL’O


Ligue A : Msimamo wa League , wiki ya 13.

EquipeGDPts
1ATHLETICO OLYMPIC1527
2VITAL’O  FC (-1match)1225
3FLAMBEAU DE L'EST723
4ROYAL FC522
5LLB ACADEMIC (- 2matchs)518
6INTER STAR217
7MUZINGA FC-216
8MESSAGER NGOZI-115
9ACADEMIE TCHITE-215
10PRINCE LOUIS-1112
11FLAMENGO FC-127
12ESPOIR-185

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire