lundi 2 septembre 2013

BIGIRIMANA FORLTAN na THE WORSHIPERS watazindua album *Ntaconzoba * tarehe 8/September/2013...


Ifikapo tarehe 8/September/2013 kwenye ukumbi wa ODEON PALACE kuanzia saa 12 jioni , Mwanamuziki wa mitindo ya Gospel kwa ushirikiano tosha na kundi lake *The WORSHIPERS * wataendesha tamasha yakuitangaza album yake ya 2 inayosimama na jina la * NTACONZOBA* . Habari kamili soma bango hilo apo juu...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire