mardi 24 septembre 2013

AUSTRALIA : LILL-P atashiriki kwenye "African Talent Show Audition".Ujio wa pini yake *I'm free* ni hivi karibuni...


Mzaliwa wa Nyanza-lac ,Mkoani Makamba LILL-P ifikapo tarehe 28/9/2013 nchini Australia, Mjini Brisbane atashiriki kwenye mashindano ya "African Talent Show Audition " ,  moja kati ya mashindano yanayo andaliwa Mjini pale kwa niya na mazumuni yakuwapa shavu wasanii kutokeya barani africa kuonyesha uzowefu wao kupitiya muziki . Msanii huyo alichonga na BB akawa ametufahamisha :"Tarehe 28 ni kweli ntashiriki kwenye mashindano hayo ,  niko  kambini najianda vyakutosha kwa muda huu , vile vile nikisubiri ujio wa nyimbo yangu mpya inayosimama na jina la *I'M FREE* nyimbo ya kwanza niliyotumiya kiswahili na kirundi  . LILL-P baada ya kuwa ninazo kapuni pini 2 nilizoimba kingereza kitupu . Siku hiyo hiyo nitakuwa na bonge la tamasha nililoanda kwa niaba ya familia tofauti tofauti za hapa Brisbane,   ki ingilio ni bure."

Bango ya tamasha atakayo endesha...
 Habari kamili kuhusikana  na mashindano hayo vile vile na pini hiyo   BB inayafwatiliya kwa karibu...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire