mercredi 30 octobre 2013

Soma ujumbe alio uandika Big Fizzo akiwa Kigali / Rwanda...

Big Fizzo
Siku 2 kabla ya tamasha ya General Fizzo Kigali / Rwanda  alipowasili siku ya Ijumaa tarehe 25/10/2013 ,huu apa ni ujumbe kwa washabiki wake alio uandika kwakuwafahamisha kuwa saa jana alikuwa studio akirikodi pini na Alida Baranyizigiye , msanii wa kike mrundi anae ishi pande zile. Aliandika :" In the studio doing a song....." This Love" Fizzo ft Alida!! stay tuned , hope y'all gonna luv it." Ifahamike vile vile ya kuwa anamulika endapo muda uamruhusu kushirikiana na baadhi ya wasanii pande zile ,wanaozungumzwa sana ni pamoja na Tom Close alie imbanae nyimbo * Baza * ,Knowless na kuna wengine wengi wanaomuomba kolabo ila muda ndiyo unaomtatiza kulinganisha na ratiba ya maandalizi ya makamuzi ya tarehe 1/11/2013 kwenye bonge la tamasha ' BURUNDI NIGHTY' .
Alida
 Fizzo atawasili Burundi mdaa wowote baada yakukamilisha agenda ya tarehe 1/November.

1 commentaire: