lundi 24 juin 2013

Album 'NAMPENDA' ya ADORA itazinduliwa rasmi tarehe 5 July 2013 Jijini Bujumbura...

Msichana UWIMANA Adora ane ondoka na mitindo ya Gospel ifikapo tarehe 5/July/2013 saa moja usiku (19h) ataizinduwa album yake inayosimama na jina la *NAMPENDA* kwenye ukumbi wawafaransa , maarufu kama INSTITUT FRANCAIS (Ex. CCF), kwa muujibu wa Mwanadada huo alilonga na blog hii nakutuwekea wazi kuwa :" Nimejianda vyakutosha,zasalia siku chache naomba washabiki wangu na wapenzi wamziki wa burundi kwa ujumla wajijumuishe nami ili tuambukizane furaha." Ifahamike ya kuwa atashirikiana na wasanii wengi na itakuwa mchanganyiko wamadebe kama ragga,reggae,slow na salsa.Ki ingilio kimepangwa pesa 5000 kwa kichwa cha mtu...usikosi.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire