vendredi 11 octobre 2013

CHAN 2014: Tizama picha ya Uwanja (Stadium),Hotel Burundi itayotumiya...

Burundi kwenye mashindano ya CHAN 2014 baada ya kupangwa makundi ,imejikuta ikiwa kwenye kundi D pamoja na DRC , Mauritania na Gabon , michezo 3 ya mtowano kwa upande wa makundi itaichezeya Mjini POLOKWANE CITY,tizama kwenye picha hizo sehemu watakapo fikiya na uwanja watakaochezeya jumla ya michezo 3 ya mtoano  :
Huu ni uwanja watakao chezeya michuano ya mtoano kwa upande wa kundi D
Muonekano wa ndani/Peter Mokaba Stadium
Apo ni kwenye Hotel watakapo fikiya / Hotel Protea
Muonekano kwa juu / Protea  Hotel
Sehemu ya kumzikiya / Protea Hotel
Vyumba watakavyo lala wachezaji wa Burundi.
Uwanja wa Peter Mokoba.
Sehemu yakufanyiya Gym

1 commentaire: