jeudi 18 avril 2013

MNYAMA MAFIA ziarani Burundi kuanda Tamasha ya Diamond itakayofanyika tarehe 12/May/2013 Jijini Bujumbura...

Anzo Mafia Mnyama anaishi Africa ya kusini , ni mmoja kati ya vijana warundi wanao jituma na wanaojikwamuwa vyakutosha kwakujitaidi ku utowa mchango wao kwa ukuwaji wa vipaji nakuleta changamoto kwa upande wa utamaduni nchini hapa kwakuyafanya mahojiano ao kutosita kuwasogelea Vigogo kwenye mziki katika kanda ya africa mashariki apo nikizungumzia kama DIAMOND PLATNUMZ,SHILOLE CLASSIC nawengineo... Mafia Mnyama kwa ushirikiano tosha na a.k.a Business man , a.k.a Mkali wa Show , Mr Happy Famba . watamteremsha Diamond Platnumz nchini Burundi kwenye bonge la Tamasha atakayo iendesha Jijini Bujumbura tarehe 12/May/2013 sehemu pajulikanapo kama * COCKTAIL BEACH * pembezuni mwa Saga Plage . Kwa habari tunazo mezani kuwa kijana huo yuko Burundi kumuandalia kila kitu kinacho hitajika ili tamasha hio yende vizuri . Msanii Hassan Ibrahim ambae atakuwa nae Uvira tarehe 11/May alitwambia kuwa :" najianda vyakutosha ili niongeze kwa mara nyingine kukonga nyoyo za wapenzi wa mziki pande zile ., Diamond ni msanii mkubwa tena namuamini sana . naomba watu wa kanda hii ya maziwa makuu wajiandae vyakutosha. " Tiketi yaki ingilio kwa hapa Burundi hadi mdaa huu imepangwa pesa 5000 sarafu za Burundi. Habari ndio hio...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire