mardi 26 mars 2013

Rwanda : Ngazi ya 8 (1/8 final) ya Kombe "la Amani" yaanza leo...

Ngazi ya nane (1/8 final) ya Kombe la 'Amani ' itaendelea kuanzia leo nchini Rwanda huku imeombwa kwa kila nahodha wa timu kusoma kwa sauti kubwa ujumbe wakuomba raia kujilinda na ugonjwa wa malaria.

Orodha ya match zitakazochezwa ni pamoja na :

Leo hii ,tarehe 26/3/2013
SEC VS VISION [FERWAFA]

MUHANGA VS ASPOR [STADE REGIONAL]

Jumaa-tano, tarehe 27/3/2013
RAYON SPORT VS BUGESERA [STADE AMAHORO]

AS KIGALI VS ESPOIR [STADE MUHANGA]

APR VS KIREHE [STADE REGIONAL]

Al-khamis, tarehe 28/3/2013
MUSANZE VS UNITY [STADE MUMENA]

MUKURA VS AMAGAJU [STADE MUHANGA]

ISONGA VS ETINCELLES [STADE REGIONAL

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire