dimanche 10 février 2013

Primus league: Athletico yaongoza league baada yakuicharaza jana Lydia Ludic bdi Academie kwenye wiki ya 9...


Jana na leo  league ya taifa  Primus league itaendelea ikiwa imeingia kwenye wiki yake ya 9 ,jana Jumaa-mosi matokeo yalikuwa :

* Saa nane : Lydia Ludic Burundi Academie 0 - 2 Athletico Olympic.
* Saa tisa : Royal 2 - 1 Muzinga
* Saa tisa : Espoir Mutimbuzi 1 - 2 Vital'o fc
* Saa kumi : Inter stars 0 - 0 Messagers 

Leo hii zitachezwa match zifwatazo:

* Saa nane : Prince Louis - Academie Tchite
* Saa kumi : Flamengo - Flambeau de l'Est.

Msimamo wa muda (Wiki ya tisa).
----------------------------------
1. Athletico Olympic 20 points +13
2. Lydia ludic Bdi Academie 17 points +7
3. Vital'o fc 16 points +7
4. Royal fc 16 points +5
5. Flambeau de l'Est 15 points +5 ( -1 match)
6. Messagers 11 points -1
7. Muzinga 11 points -5
8. Inter stars 9 points -1
9. Academie Tchite 9 points -5 (-1 match)
10. Prince Louis 9 points -4 ( -1 match)
11. Flamengo fc 6 points -7 ( -1 match)
12. Espoirs 4 points -14

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire