samedi 29 juin 2013

CECAFA KAGAME CUP :VITALO 1-0RAYON Fainali ya 2 kwa Burundi toka mwaka 2002.

Timu yaVitalo fc imejikatia tiketi yakushiri fainali baada yakuilaza Rayon sport ya Rwanda kwa bao 1 kwa 0,bao hilo liliwekwa kimyani na HABONIMANA Celestin kwenye dakika ya 28 kipindi cha pili,bao lililo patikana dakika chache baada ya TambweAmissi kushindwa penalti aliokuwa ameipata baada yakuchezewa vibaya na mchezaji wa nyuma wa Rayon . Baada ya miaka 11 (2002) PrinceLouis ilipocheza fainali nakufungwa na Simba ya Tanzania bao 1 kwa 0, Vitalo imejiorodhesha kwa mara nyingine kwenye kitabu cha heshima kwakuicheza fainali kwa mara yake ya kwanza .Fainali imepangwa kuchezwa Jumaa-tatu (lundi) Maafaanikio mema...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire