mardi 5 février 2013

Mkomboz :" Niko najifunza nianze kusoma chuo kikuu (Universite)"
Msanii wa miondoko ya hip hop NZEYIMANA Thomas a.k.a Mkomboz ametujulisha kuwa kwa muda huu yuko anajifunza njia gani mbadala aweza kuitumia ili ajiendeleze ki elimu zaidi,alitwambia ;" Nimeamuwa mwaka ujao nianze kusomaa chuo kikuu kwani nimeona japo nimajaliwa kumaliza atuwa ya kwanza yaani secondary school .Nimuhimu sana kuwa Msanii naniwe na elimu yazaidi,alafu nilipenda kukanusha habari ambazo zinamaliza siku zinatamba kwenye web site tofauti tofauti kuwa mara nina beef,mara nimesema uongo sikuwa nakiwanja sokoni nawaomba jamani tuwe tunaandika vitu vyenye busara na vitu ambavyo tukonavyo ushahidi tosha la sivyo tutakuwa tunajirudisha nyuma sisi wenyewe,walie andika nimesha wasamehe kwani walichofanya hawakutafakari nakuwaza mbele yakuandika, Hastaa..."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire