dimanche 3 février 2013

Gitega: -Wakali gangsters:" Tutawasha moto Gitega tarehe 15/02/2013"
Hotel ORANGE LOGDE toka pande za Gitega kwa ushirikiano na hao mnakao waona kwenye bango wanakuandalieni bonge la tamasha wanalo tangaza kama 'Special saint Valentin' ifikapo ijumaa tarehe 15/February/2013 kwenye ukumbi huo huo,nia na mazumuni ni kuwapa shavu wasanii hao kwa ujumla na fasi yakuonyesha kile wanacho kifahamu kwa upande wa mziki,vile vile kuwatangaza kwenye level nyingine ili jamii mahali kote wawafahamu. Mpangilio mzima soma kwenye bango hilo...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire