dimanche 24 février 2013

Bukavu (DRC) : Fizzo na Mr Happy :" Tunakuja kuwakamuwa ki jeshi jeshi..."

Baada yakuzifanya Tamasha nyingi nakufaanikisha baadhi ya Tamasha hizo kukonga nyoyo za washabiki wao Wasanii wawili Big Fizzo na Mr Happy wanaahidi kukamuwa vilivyo wapenzi wa mziki hususani Washabiki wao pande zile ifikapo tarehe 9/3/2013 (Jumaa-mosi) na tarehe 10/3/2013 (Jumaa-pili),alitwambia Fizzo :" Lazima tuwakamuwe ki jeshi jeshi,mkao wa kula najuwa watasalim amri ."

N.B: Kwenye bango hilo wamejidanganya tarehe ya Tamasha ya siku ya Jumaa-pili,pali ya tarehe 10,imeandikwa tarehe 9. Mpangilio kamili soma kwenye bango hilo...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire